Njia za mawasiliano katika Da´wah


Swali: Inazingatiwa kuwa naitetea dini na nchi nikitumia njia za mawasiliano ili kutahadharisha fitina na kueneza madhehebu ya haki?

Jibu: Ndio, ikiwa una uwezo wa hili, elimu na hekima na ukatumia njia hizi ili kueneza elimu yenye manufaa, ulinganizi katika dini ya Allaah na kutengeneza, ni njia sahihi. Njia hizi zitakusaidia kueneza haki.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Muhadhara: at-Tahdhiyr min Du´aat-is-Suu'
  • Imechapishwa: 05/09/2020