Niwaache wateja wavute sigara kwenye mgahawa wangu?


Swali: Mimi nina mgahawa ambapo watu wanakunywa kahawa na chai. Je, inajuzu kwangu kuwaruhusu wateja kuvuta sigara kwa hoja kwamba kunawafanya wateja kuwa wengi?

Jibu: Haya ni madai batili. Sigara ni haramu. Hakuna yeyote anayepinga kuwa inadhuru. Sigara inadhuru. Hakuna yeyote anayepinga. Haina faida yoyote. Ni madhara yenye matupu. Kitu ambacho kina madhara matupu ni haramu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (106) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighatoul%20lahfan-%2027-03-1441.mp3
  • Imechapishwa: 20/09/2020