Swali: Makatazo ya Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) juu ya mwanamke anayefanya Ihraam  kuvaa Niqaab. Mtu anaweza kutumia dalili hiyo juu ya kufaa kuivaa nje ya Ihraam?

Jibu: Ndio. Ikiwa atafunika uso wake hakuna neno. Kilichokatazwa ni kama atavaa Niqaab kwa sababu ya kujipamba. Hivi sasa wanavaa kwa ajili ya kujipamba, jambo ambalo halijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (21) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah-13-2-1435-01.mp3
  • Imechapishwa: 01/03/2020