Nini zinafanywa nyaraka za Qur-aan zilizoharibika?


Swali: Niko na misahafu mingi ambayo imepasukapasuka. Niifanye nini?

Jibu: Ikiwa imeharibika basi ajitahidi kuizika sehemu maalum na safi. Wachimbe shimo, waiweke ndani yake na wafukie kwa udongo.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalish-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://www.mufti.af.org.sa/ar/content/فتاوى-على-الهواء-26-12-1435هـ
  • Imechapishwa: 19/06/2022