Nini kinachomuwajibikia aliyetokwa na manii?

Swali: Analazimika mtu kufanya nini anapotokwa na manii ima kwa kufikiria au kwa kutazama? Je, anapata dhambi?

Jibu: Akitokwa na manii ghafla kwa matamanio basi ni wajibu kwake kuoga. Kwa sababu kutokwa na manii kunawajibisha kuoga. Ikiwa sio kwa kutaka kwake haidhuru.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (05) http://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191110#219240
  • Imechapishwa: 09/11/2018