Nimwamrishe Shiy´iy kuswali itapofika wakati wa swalah?


Swali: Lau Raafidhwiy atanasihiwa kazini na asiitike na akasema kuwa yeye anatuhumiwa tu juu ya mambo hayo ukafika wakati wa swalah na asiswali. Je, aamrishwe swalah au aachwe na kutaamiliwa mu´amala wa makafiri?

Jibu: Hapana, bali anatakiwa kuamrishwa swalah. Kwa sababu anadai kuwa ni muislamu. Ni wajibu kumchukia kwa ajili ya Allaah, kufanywa ni uadui, kuamrishwa na aambiwe aswali.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 84
  • Imechapishwa: 11/07/2019