Swali: Nimefiwa na ndugu ambaye alikuwa anafunga lakini hata hivyo haswali. Je, nimhijie?

Jibu: Maoni sahihi ni kuwa ikiwa alikuwa haswali kabisa basi haijuzu kumhijia kwa sababu kuacha swalah ni kufuru na kuritadi. Haya ndio maoni sahihi yanayosapotiwa na dalili na ambayo Maswahabah wameafikiana kwayo.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-Qaa´idah al-Marraakushiyyah (04)
  • Imechapishwa: 30/04/2020