Niieleza Mahakama Kuhusu Anayejiunga Na ISIS?


Swali: Nikiyakinisha kuwa kuna mtu anataka kujiunga na ISIS, ni wajibu wangu kuwaeleza mahakama kuhusu hilo na khaswa ikiwa mahakama sio ya Kiislamu?
Jibu: Hatakiwi kuacha kuwaeleza.
  • Mhusika: ´Allaamah Swaalih bin Muhammad al-Luhaydaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://putselefa.com/informisanje-nevjernickih-vlasti-o-onima-koji-se-zele-prikljuciti-isis-u/
  • Imechapishwa: 06/11/2016