Nifasi imekatika katika Ramadhaan

Swali: Mwanamke akitwaharika na damu ya uzazi kabla ya masiku arubaini. Je, ni wajibu kwake kufunga ikiwa ni Ramadhaan?

Jibu: Ndio. Damu yake ikikatika basi anatakiwa kuoga na kufunga. Damu ikimrudilia aache kufunga. Funga yake aliyofunga masiku yaliyoisha ni kamilifu na sahihi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (90) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/%D8%A5%D8%BA%D8%A7%D8%AB%D8%A9%20%D8%A7%D9%84%D9%84%D9%87%D9%81%D8%A7%D9%86%20-15-07-1439.lite__0_0.mp3
  • Imechapishwa: 22/08/2018