Nia mbili wakati wa kusoma Qur-aan

Swali: Je, inafaa kutafuta ponyo kwa Qur-aan tukufu baina ya nia ya kuifanya imara hifdhi na kutafuta ponyo?

Jibu: Kikwazo kiko wapi?

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sa-altu Abiy, uk. 36
  • Imechapishwa: 01/07/2022