Swali: Na je, inakuwa hivyo katika kila usiku au mtu anaweza kuweka nia moja ya mwezi mzima?

Jibu: Lazima iwe kila usiku, kila siku uweke nia nia usiku.

  • Mhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Waswaabiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://alwasabi.al3ilm.com/alfatawaa
  • Imechapishwa: 10/05/2020