Ni wajibu kwa waislamu wote kuhifadhi Qur-aan?

Swali: Ni wajibu kwa waislamu wote kuhifadhi Qur-aan moyoni?

Jibu: Hapana, sio wajibu. Lakini hata hivyo ndio bora zaidi. Kilicho cha wajibu ni kila mmoja kuhifadhi kile anachohitaji katika swalah zake. Ama zaidi ya hivo imependekezwa tu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (67) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah22-05-1438h.mp3
  • Imechapishwa: 18/10/2017