Swali: Je, inajuzu kwa mume kumtaliki mke wake ikiwa anapuuza swalah pamoja na kwamba ameshamnasihi mara nyingi juu ya jambo hilo lakini pasi na kufua dafu.

Jibu: Ndio. Ni wajibu kwake kumtaliki. Ni wajibu kwake kufanya hivo. Ikiwa anaacha swalah kwa kukusudia na hatubii, basi ni wajibu kwake kumtaliki, ajitenge naye mbali na amwepuke ili mwanamke huyo asije kuwalea pia watoto wake juu ya hilo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (97) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igatha26-02-1440-h.mp3
  • Imechapishwa: 10/02/2019