Ni wajibu kumbainishia mposaji maradhi yako

Swali: Dada yangu amesibiwa na jini na amepata mchumba. Ni lazima kwake ambainishie yule mposaji kwamba yuko na jini?

Jibu: Ndio, ni wajibu kwako kumbainishia maradhi alionayo. Vinginevyo itakuwa ghushi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Nawaaqidh-il-Islaam (07) http://ajurry.com/safrawy/chorohat-elakida/chorohat-nawakid-elislam/charh-salah-fawzan/07.mp3
  • Imechapishwa: 23/03/2019