Swali: Kuna walinganizi ambao wanaeneza makosa ya watawala na wanasambaza kwa watu. Je wanasihiwe jumla ya watu kusikiliza kanda zao na kusoma vitabu vyao?

Jibu: Kanda zenye upotofu na kueneza fitina haijuzu kuieneza bali ni wajibu kuiharibu. Ni wajibu kuiharibu kwa kuwa inaeneza fitina na shari.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.subulsalam.com/site/audios/alfozan/divers/130.Asalafiya7aqi qatoha-…
  • Imechapishwa: 09/04/2022