Swali: Ni njia ipi bora ya kuwaraddi Suufiyyah?

Jibu: Kuna njia nyingi. Kuna Ruduud nyingi juu ya utata wa Suufiyyah zilizoandikwa hapo zamani na hivi leo. Ni juu ya mwanafunzi azirejelee. Miongoni mwazo ni pamoja na yale aliyoandika Shaykh [al-Islaam Ibn Taymiyyah] katika “´Ilm-us-Suluuk fiy ar-Radd ´alaa as-Suufiyyah” ambayo inapatikana katika Majmuu´-ul-Fataawaa. Vilevile Imaam Ibn-ul-Qayyim katika “Madaarij-us-Saalikiyn” ambapo amepambana na shubuha zao kwa kuziraddi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Qaa´idah Jaliylah fiyt-Tawassul wal-Wasiylah (01) http://alfawzan.af.org.sa/node/2104
  • Imechapishwa: 28/06/2020