Ni vipi soksi zinapanguswa?


Swali: Ni ipi njia sahihi na iliyowekwa katika Shari´ah ya kupangusa juu ya soksi? Mtu anatakiwa kuzipangusa zote mbili kwa wakati mmoja au aanze kwanza na ya upande wa kulia kisha upande wa kushoto?

Jibu: Zote ni sawa. Muhimu ni yeye kuzipangusa zote mbili, kwa njia yoyote ambayo ni nyepesi kwake.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (83) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah-15-3-1439-01.mp3
  • Imechapishwa: 11/02/2018