Ni vipi dhambi ndogo inakuwa kubwa?

Swali: Ni vipi dhambi ndogo inakuwa kubwa?

Jibu: Akiendelea nayo. Akiendelea nayo na akaichukulia wepesi inakuwa kubwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (79) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd-11-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 28/10/2018