Ni sharti kwa mtawala anayehukumu kinyume na Shari´ah aitakidi imani fulani ili akufurishwe

Swali: Mtawala anayehukumu kinyume na yale aliyoteremsha Allaah kumeshurutishwa juu yake aitakidi?

Jibu: Ndio. Akihukumu kinyume na Shari´ah kwa kufuata matamanio inakuwa kufuru ndogo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 76
  • Imechapishwa: 15/04/2017