Swali: Je, inajuzu kuoa mwanamke ambaye kishatalikiwa zaidi ya mara saba na alikuwa akitumia madawa ya kulevya?

Jibu: Ni nani atakayemuoa na yeye ni mtumiaji wa madawa ya kulevya? Ni juu yake kutubia kwa Allaah. Ni lazima kwake kutubia kwa Allaah. Akitubia ndio aolewe. Haijuzu kwa mwanaume kumuoa na yeye ni mtumiaji wa madawa ya kulevya.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/5431
  • Imechapishwa: 20/09/2020