Swali: Mtu anampa mfanya biashara kiwango fulani cha pesa ili aziwekeze katika biashara. Je, yule mfanya biashara ndiye anayeamua faida au ni kitu ambacho wote wawili wanatakiwa kukubaliana?

Jibu: Kile ambacho watakubaliana wakihitimisha mkataba ndicho kitachofanya kazi. Hapo ndipo watakubaliana faida.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (30)
  • Imechapishwa: 19/02/2022