Swali: Je, mayahudi na manaswara walioipotosha Tawraat na Injiyl wanazingatiwa kuwa ni Ahl-ul-Kitaab?

Jibu: Ndio. Mwenye kujinasibisha na manaswara basi huyo ni mnaswara na mwenye kujinasibisha na mayahudi huyo ni myahudi  – mpaka pale kitaposimama Qiyaamah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (50) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Umdah%20Fiqh-06-05-1437.mp3
  • Imechapishwa: 15/02/2019