Swali: Katika athari za ukoloni katika nchi yetu ni pamoja na kuwa kulijengwa makaburi na yakapambwa kwa mauwa na miti. Kufanywe nini juu ya hilo?

Jibu: Kitendo hichi ni maovu. Ni wajibu kukiondosha. Yule awezae kukiondosha ni wajibu afanye hivo. Hata hivyo ni lazima mamlaka ndio yafanye hivo kazi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (30) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathul%20majd%20-%2019%20-%2010-%20-1436.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017