Ni lini msafiri anaweza kuleta Raatibah?


Swali: Je, mtu alete Sunnah za Rawaatib Makkah ikiwa nitakaa kwa muda wa siku moja au siku mbili?

Jibu: Ukiswali kikamilifu leta Raatibah. Ama ukifupisha usilete Raatibah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Zaad-il-Ma´aad (67) http://www.alfawzan.af.org.sa/node/13854
  • Imechapishwa: 16/11/2014