Ni lini msafiri analeta Adhkaar anapokusanya swalah mbili?


Swali: Wakati mtu anapokusanya kati ya swalah ya Maghrib na ´Ishaa asome Adhkaar za Maghrib kati ya swalah hizo mbili halafu asimame kuswali na kusoma Adhkaar za ´Ishaa?

Jibu: Hapana. Aswali zote mbili kwanza kisha ndio asome Adhkaar baada ile swalah ya pili.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (67) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah22-05-1438h.mp3
  • Imechapishwa: 18/10/2017