Swali: Ni lazima kwa yule ambaye hasikii adhaana ya ijumaa kwenda kwa gari?

Jibu: Ikiwa yuko ndani ya mji basi ni lazima kwake hata kama hakusikia adhaana. Akiwa yuko nje ya mji basi hahitajii kwenda mpaka pale ataposikia adhaana.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (72) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/ighassat%20-11-01-1439h.mp3
  • Imechapishwa: 17/12/2017