Ni lazima kwa mwenye kuona mwezi kuwafikishia mamlaka husika?


Swali: Je, ni lazima kwa yule mwenye kuuona mwezi wa mwandamo kuwafikishia mamlaka husika?

Jibu: Ndio. Ni wajibu kwa yule mwenye kuuona kuwafikishia mamlaka husika juu ya kuingia na kuisha kwa Ramadhaan.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (15/72)
  • Imechapishwa: 15/05/2018