Ni lazima kwa mume kumuhudumia mke

Swali: Mke wangu ananiomba matumizi ya mwezi ambayo sina uwezo nayo. Ni ipi nasaha yako?

Jibu: Ni lazima umpe matumizi. Matumizi ya mke yako juu ya mume wake. Fanya unachoweza ima ukope, uazime kutoka kwa mtu na kadhalika. Ni lazima kumuhudumia mwanamke.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (22) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/umdatul-26-3-1435.mp3
  • Imechapishwa: 28/03/2020