Ni lazima kuwaunga ndugu ambao si waislamu?


Swali: Je, ni wajibu kwangu kuwaunga ndugu ambao ni makafiri?

Jibu: Ndio. Unatakiwa kuwaunga pamoja vilevile na kuwanasihi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://alfawzan.af.org.sa/ar/node/17510
  • Imechapishwa: 11/04/2018