Swali: Je, Qur-aan na Sunnah vinatosha ili mtu aijue ´Aqiydah na misingi ya dini pasi na kuhitajia maneno ya wanachuoni?

Jibu: Ni lazima kwa mtu kukusanya kati ya mambo hayo. Unatakiwa kuijua Sunnah na ´Aqiydah sahihi pamoja vilevile na ´Aqiydah mbalimbali ambazo ni batili ili zisikutatize.

Nimejifunza shari

sio kwa sababu naitaka hiyo shari, lakini ili nijiepushe nayo

Yule asiyeijua shari kutokamana na kheri

basi atatumbukia ndani yake

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (98) https://www.alfawzan.af.org.sa/ar/node/18006
  • Imechapishwa: 01/03/2019