Ni lazima kuosha viungo vya wudhuu´ mara tatu?

Swali: Je, mazingatio katika wudhuu´ ni maji yaenee pasi na kutimiza idadi ya mara tatu japokuwa mtu atazidisha mara tatu?

Jibu: Ndio, mazingatio ni kuenea kwa maji. Maji yakienea vizuri, japokuwa kwa mara moja, tosha. Lakini mtu asizidishe mara tatu.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (04) http://audio2.islamweb.net/lecturs/aalrrajhee/431/431.mp3
  • Imechapishwa: 07/08/2018