Swali: Inafaa kwa mume kumtaliki mke mwenye kuacha swalah na amekwishamnasihi mara nyingi juu ya jambo hili lakini hata hivyo haisaidii kitu?

Jibu: Ndio. Ni lazima kwake kumtaliki. Ni lazima kwake kufanya hivo. Ikiwa anaacha swalah kwa makusudi na wala hatubii, basi ni lazima kwake kumtaliki na kujiweka mbali naye ili asije kuwalea watoto wake juu ya hayo.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (97) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/igatha26-02-1440-h.mp3
  • Imechapishwa: 07/05/2019