Ni lazima kuitikia adhaana nyingi wakati mmoja?

Swali: Je, adhaana zikikariri kwa kukariri waadhini nimuitikia kila mmoja wao?

Jibu: Ndio, itikia wakikariri. Akiadhini muadhini muitikie na akiadhini muadhini mwingine muitikia hata kama watakuwa ni waadhini mia moja.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa Mutanawwi´ah (10) https://audio.islamweb.net/audio/index.php?page=FullContent&audioid=191426#219753
  • Imechapishwa: 13/04/2019