Ni lazima anayewatahiri watoto awe na uzoefu

Swali: Ni ipi hukumu ya kuwatahiri watoto wa kike?

Jibu: Ni jambo limeruhusiwa [mubaah]. Kuwatahiri wasichana ni jambo limeruhusiwa. Lakini mtu  asifanye ubadhirifu. Ni lazima mwenye kufanya hivo awe ni mwanamke mwenye uzowefu mwenye kujua kutahiri.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Duruus-ul-Haram http://www.alfawzan.af.org.sa/node/14763
  • Imechapishwa: 21/06/2020