Ni kweli haifai kuuliza “Allaah yuko wapi?” 

Swali: Vipi mwenye kusema ya kwamba haifai kuuliza swali lifuatalo “Allaah Yuko wapi?”

Jibu: Mtume aliulizi hivi. Alimuuliza mjakazi “Allaah Yuko wapi” akajibu “Mbinguni”. Hili ndio jibu. Baada ya hapo akamwambia bwana wake amwache huru kwa kuwa ni muumini.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-´Aqiydah al-Waasitwiyyah (02)
  • Imechapishwa: 09/08/2020