Ni kwanini asikufurishwe anayepinga Shari´ah kupigwa mawe mzinifu?


Swali: Kuna wanaopinga Shari´ah ya mzinifu kupigwa mawe…

Jibu: Mwenye kupingwa mzinifu kupigwa mawe ni mwenye kuritadi katika Uislamu. Ni jambo limepokelewa kwa mapokezi mengi katika Sunnah na limetajwa pia katika Qur-aan:

الشيخ والشيخة إذا زنيا فارجموهما البتة نكالاً من الله والله عزيز حكيم

”Mzee mwanaume na mzee mwanamke wakizini basi wapigeni mawe. Ndio adhabu ya kupigiwa mfano kutoka kwa Allaah. Allaah ni Mwenye nguvu kabisa, Mwenye hekima.”

Kisomo cha Aayah hii kilifutwa. Lakini hata hivyo hukumu yake imebaki.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (64) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighatsah%2019-03-1438H.mp3%2001.mp3
  • Imechapishwa: 09/10/2017