Ni Kitabu gani mtu aanze nacho kuwafunza Suufiyyah wanaodai kuwa ni Maalikiyyah?

Swali: Katika mji wetu kuna Maalikiyyah ambao ni Suufiyyah. Je, ni bora kuanza kuwafunza watu wasiokuwa na elimu kitabu “Usuwl ath-Thalaathah” au dibaji ya kijitabu hichi kilichoandikwa na Ibn Abiy Zayd?

Jibu: Tazama chenye faida zaidi. Tazama kilicho na faida zaidi kwako uanze nacho.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Muqaddimati Ibn Abiy Zayd al-Qayrawaaniy fiyl-´Aqiydah (12) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/msrf–16041434.mp3
  • Imechapishwa: 24/09/2020