Swali: Ni kipi kibaya zaidi kati ya madhambi makubwa na Bid´ah?

Jibu: Bid´ah ni katika madhambi makubwa. Bid´ah ni katika madhambi makubwa.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (34) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/fathulmajid-17-11-1436-01.mp3
  • Imechapishwa: 12/02/2017