Ni kipi bora swalah ya kulipa au swalah ya Sunnah?

Swali 287: Ni kipi bora swalah ya kulipa au swalah ya Sunnah?

Jibu: Akiwa yuko na swalah ya kulipa ambayo ni ya lazima, basi kusjighulisha nayo ndio bora zaidi kuliko kujishughulisha na swalah ya Sunnah.

  • Mhusika: Shaykh-ul-Islaam Ahmad bin Taymiyyah
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaa al-Mar´ah al-Muslimah, uk. 109
  • Imechapishwa: 12/10/2019