Swali: Ni kina nani mawalii?

Jibu: Ni waumini. Na nyinyi – Allaah akitaka – ni katika wao. Allaah atujaalie sisi sote kuwa miongoni mwao. Kila mwenye kumtii Allaah na Mtume Wake (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na akanyooka juu ya haki basi ni walii wa Allaah. Tunamuomba Allaah atujaalie sote kuwa miongoni mwao.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Kashf-ish-Shubuhaat, uk. 40
  • Imechapishwa: 15/06/2019