Ni kilo ngapi zinazotolewa Zakaat-ul-Fitwr?

Swali: Ni kiwango kiasi gani kinachotolewa Zakaat-ul-Fitwr kwa kilo?

Jibu: Wanachuoni wamesema kuwa ni takriban kilo 3. Haya ndio waliyofikia baada ya masomo na ukaguzi. Wamefikia ya kwamba ni sawa takriban na kilo 3. Mtu akitoa kilo 3 basi amefanya lililo salama zaidi.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: http://www.alfawzan.af.org.sa/node/%205843
  • Imechapishwa: 23/06/2017