Swali 01: Kuna mtu amenuia kukata wuduu´ wake kwa kulala halafu hakulala tena. Je, atawadhe tena?
Jibu: Kulala hakufungamani na nia. Kumefungamana na hadathi. Iwapo atanuia kulala kisha asilale basi bado yuko juu ya twahara yake na wudhuu´ wake hauchenguki. Twahara yake haigeuki mpaka alale. Hali kadhalika iwapo atanuia kupata hadathi kisha asipate hadathi wudhuu´ wake hauchenguki.
- Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ash-Sharh al-Mumtaaz, uk. 32
- Imechapishwa: 25/07/2018
Swali 01: Kuna mtu amenuia kukata wuduu´ wake kwa kulala halafu hakulala tena. Je, atawadhe tena?
Jibu: Kulala hakufungamani na nia. Kumefungamana na hadathi. Iwapo atanuia kulala kisha asilale basi bado yuko juu ya twahara yake na wudhuu´ wake hauchenguki. Twahara yake haigeuki mpaka alale. Hali kadhalika iwapo atanuia kupata hadathi kisha asipate hadathi wudhuu´ wake hauchenguki.
Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: ash-Sharh al-Mumtaaz, uk. 32
Imechapishwa: 25/07/2018
https://firqatunnajia.com/ni-ipi-hukumu-ya-wudhuu-wa-aliyenuia-kulala-kisha-asilale/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)