Ni ipi hukumu ya swalah ya mwanaume anayeswali peke yake nyuma ya safu?

Swali: Je, ni sahihi kuwa swalah ya ambaye anaswali katika safu peke yake ni batili?

Jibu: Ndio. Ni sahihi. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimuona mwanaume anaswali peke yake nyuma ya safu ambapo akamuamrisha kuirudi swalah yake na akasema:

“Swalah ya anayeswali peke yake nyuma ya safu si sahihi.”

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (71) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Ighastah26-07-1438h%20-%20Copy.mp3
  • Imechapishwa: 19/08/2017