Swali: Ni ipi hukumu ya Qaz´? Ni jambo la haramu au limechukizwa?

Jibu: Liko karibu zaidi na uharamu. Naona Qaz´ imekuwa kwa wingi hii leo. Inatakiwa kwa kamati ya kuamrisha mema na kukataza maovu wawafunze vinyozi  na wasifanye dhambi hii.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (68) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/27-06-1438h.mp3
  • Imechapishwa: 16/07/2017