Ni ipi hukumu ya kuzungumza wakati wa kukidhi haja?

Swali: Ni ipi hukumu ya kuzungumza wakati wa kukidhi haja?

Jibu: Ni haramu kuzungumza wakati wa kukidhi haja. Haijuzu.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh ´Umdat-il-Fiqh (04) http://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/omdh–14340323.mp3
  • Imechapishwa: 25/08/2020