Ni ipi hukumu ya kuzifanya nywele kibunda kimoja?

Swali: Ni ipi hukumu ya kuzifanya nywele kibunda kimoja?

Jibu: Sijui ubaya wowote wa kuzifanya nywele kibunda kimoja. Kimsingi ni kuruhusu. Mwenye kuona kitu katika Sunnah kinachokataza jambo hilo basi ni wajibu kuifuata.

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (11/133)
  • Imechapishwa: 30/06/2017