Ni ipi hukumu ya kutulia katika swalah?

Swali: Ni ipi hukumu ya kutulia katika swalah?

Jibu: Ni nguzo. Kwa ajili hiyo ndio maana Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alimwamrisha yule mtu aliyekuwa anaswali vibaya. Alisema:

”Kisha utarukuu mpaka unyooke. Kisha utasimama sawa sawa.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ash-Sharh al-Mumtaaz, uk. 24
  • Imechapishwa: 17/07/2018