Ni ipi hukumu ya kusoma Qunuut katika Witr?


Swali: Ni ipi hukumu ya kusoma du´aa ya Qunuut katika Witr katika nyusiku za Ramadhaan?

Jibu: Qunuut ni Sunnah katika Witr. Mtu akiacha baadhi ya nyakati hakuna neno.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Majmuu´-ul-Fataawaa (30/32)
  • Imechapishwa: 22/05/2018