Swali: Ni ipi hukumu ya kupinga adhabu ya kaburi?

Jibu: Ni ukafiri. Mwenye kupinga adhabu ya kaburi amekufuru. Kwa sababu amekadhibisha adhabu ya kaburi iliyotajwa katika Qur-aan na Sunnah.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Fath-il-Majiyd (79) https://www.alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/Fathul%20Majd-11-7-1439.mp3
  • Imechapishwa: 02/11/2018