Ni ipi hukumu ya kupeana pongezi kwa mnasaba wa mwaka mpya wa Hijrah?

Swali: Ni ipi hukumu ya kupeana pongezi kwa mnasaba wa mwaka mpya wa Hijrah?

Jibu: Halina msingi. Kusizuliwe kitu kwa mnasaba wa mwaka mpya wa Hijrah, si kupeana pongezi wala kitu kingine. Ni siku ya kawaida kama zengine.

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (58) http://alfawzan.af.org.sa/sites/default/files/15-01-1438-ighastat.mp3
  • Imechapishwa: 22/10/2017